SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Keep Fighting Inspiration By Narietha Boniface Miss Earth & Miss Universe 2014
Mitindo

Keep Fighting Inspiration By Narietha Boniface Miss Earth & Miss Universe 2014 

Leo katika Historia Tupo na mwanadada Narietha Boniface,

Alizaliwa mwaka 1993 na alifanikiwa kuiwakilisha nchi katika mashindano mawili, Miss Earth 2014 na Miss Universe 2014

Wengi walimfahamu baada ya kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya Miss Earth na baadae Miss Universe 2014.

Mwanadada Nare alianzia Miss Tanzania ambapo alianza kwa kushinda Taji la Redd’s Miss chang’ombe na baadae alienda kushiriki miss Temeke na kushika nafasi ya pili,

Hapa ni shindano la Miss Temeke 2013 (wakwanza kulia)

Narietha hakuishia hapo alipata nafasi ya kushiriki miss Tanzania 2013, Ambapo alishinda kipengele cha Miss Tanzania Top Model na aliingia Top 15 ya Miss Tanzania 2013.

Baada ya kutangazwa mshindi Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013

Safari ya mwanadada nare Haikuishia hapo, Mwaka 2014 alishiriki Miss Universe Tanzania, Na alifanikiwa kushika nafasi ya pili na kuvikwa taji la Miss Earth Tanzania 2014,

Hapa alikuwa Quezon City nchini Philippines. Kwenye shindano la Miss Earth

Mwanadada Nare alifanikiwa kuiwakilisha nchi katika mashindano mawili, Miss Erath na Miss Universe  (hii ilitokana na mshindi wa miss universe Tanzania 2014 ‘Caroline Bernard’ kupata matatizo ya kiafya)

Hapa mwanadada Neli akiwa kwenye beach wear na Evening gown competition.          

                                                                                                          

Hapa mwanadada Nale akiwa kwenye National costume (Miss universe) Miami Frolida, United State

Kipi tunajifunza hapa?

Safari ya mafanikio sio rahisi ni lazima kupambana, Hii ni kwa wanadada wote ambao wanashiriki shindano moja, wakishindwa wanakata tamaa.. Usikubali kukata tamaa wala kukatishwa tamaa, kila unapotaka kukata tamaa kumbuka kuwa “ wewe ni wa kipekee na una kitu cha kipekee na  hauwezi fanana na mwingine “so keep fighting

Post imeandikwa na @beautypageants_tanzania

 

Related posts

4 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keep-fighting-inspiration-by-narietha-boniface-miss-earth-miss-universe-2014/ […]

  2. Gelfand Rennert & Feldman

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/keep-fighting-inspiration-by-narietha-boniface-miss-earth-miss-universe-2014/ […]

  3. full report

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keep-fighting-inspiration-by-narietha-boniface-miss-earth-miss-universe-2014/ […]

  4. 다시보기 사이트 추천

    … [Trackback]

    […] Here you can find 51667 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keep-fighting-inspiration-by-narietha-boniface-miss-earth-miss-universe-2014/ […]

Leave a Reply