SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KEEPING UP WITH CHIBU’S COLORFUL FASHION
I'm A Celebrity

KEEPING UP WITH CHIBU’S COLORFUL FASHION 

Well among mastaa wa kiBongo hapa nchini wenye kupendeza Diamond ni mmojawapo ambapo ameweza kung’ara na kupendeza hata kuweza kutuinspire tuweze shop same outfits. Ila recently katika performances zake kubwa na mbalimbali ikiwemo ya tuzo za MTV MAMAs mwaka jana

na katika ufunguzi wa michezo ya AFCON nchini Gabon.Katika show zote hizi tumeona stylist wake Q boy msafi alimvalisha katika rangi zenye kung’aa (bright colours) zikiwemo rangi za njano, blue zikiwa paired na rangi za kijani na nyeupe.
Well rangi hizi tunajua kuwa nu risky colours hasa kwa wanaume ambapo kiziwa styled ama valiwa vibaya mtu aweza onekana kama mshamba ama mwenye kung’aa sana. kumekuwa na pande mbili katika hili wengine wakisifia uvaaji wake na wengine kuweza kuupondea uvaaji na uchaguaji wa rangi za mavazi yake kuwa ni wakishamba. All in all katika performances nyingi imezoeleka mastaa wengi wakiwa ndani ya costumes zenye kuwaka ila kuweza kuwateka mashabiki wao lakini kwetu sisi his choice of colours on his na dancers wake it’s a BIG NO.
Rangihizi zang’aa sana ana zote zimechanganywa bila ya kywepo na balance ili kuweza kuwapendezesha. Hata katika performance yake ya mwaka jana katika tuzo za MTV MAMAs aliweza kutupia rangi zilizong’aa sana na kushindwa kufanya perfect colour coordination.

Swali letu kubwa ni laenda kwa stylist wake Q boy msafi. Je, ana any experience on this na wapi does he get the inspiration in the designs and colours?
Story Credit – @willibard_jr
Follow us on
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz

Related posts

1 Comment

  1. 50 Adult Cams

    … [Trackback]

    […] There you will find 46398 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/keeping-up-with-chibus-colorful-fashion/ […]

Leave a Reply