Penny ni moja kati ya wadada ambao wame amua kuwa kimya na ku settle na maisha yao, drama aside wazungu wana sema, ana itwa Penniel M Mngazija lakini wengi tuna mjua kama vj penny au utampata ka vjpenny04 ambacho tuna penda kutoka kwa penny ni her style ana jua jinsi ya kwenda na wakati bila ku cope na mtu yoyote. ana stand outside na kuwa yeye kama yeye. Tume penda kwa sasa anavyo vaa kidada ana onekana amekua a grown woman.

red dress

14280596_1030601007060904_1520998064_n

kitenge dress na gere la njano 14295401_1147751291965646_8207542284858687488_n

black & yellow dress14295422_1588655678107165_6722761451997495296_n

orange shades15046876_1128234197231553_7730144296107507712_n

purple 15047054_1605378106434006_2336459404410355712_n