Ulisha wahi kupitia page ya mtu, ukaona ana kitu furani kina kufuraisha mpaka ukatamani uwe yeye? au uingie kwenye kabati lake uji chukulie japo viwili vitatu basi ndio huyu mwanadada kama wewe ni mpenzi wa jeans utajua nini tuna maanisha anaitwa KekeCameron ni fashion blogger, blog yake inaitwa Clean Chic Laundry huyu mdada bwana her style is A1 lakini kilicho tuvutia zaidi ni style zake za jeans tuna dhani hio ndio signature style yake maara ana penda sana jeans ana zipatia kuvaa hizi ndizo baadhi ya zilizo tuvutia kama una hizi nguo una weza kuiga namna ya kustyle
the denim skirt & cropped hoodie
Distressed Denim, graphic tee & statement red shoes
Denim on denim mixed color version
style ipi imekuvutia sana?
Tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/keke-cameron-anatupa-homa-na-denim-collection-yake/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 24867 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/keke-cameron-anatupa-homa-na-denim-collection-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 77138 more Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keke-cameron-anatupa-homa-na-denim-collection-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keke-cameron-anatupa-homa-na-denim-collection-yake/ […]