Mwanamuzi na muigizaji Keke Palmer is hitting the New York City Streets Real Hard, Keke ambae anaonekana kama kapania hivi au ameamua kuuaga mwaka huu kwa slay (what a way of ending the year)
In Namilia outfits
Alexander Wang
DKNY dress and Maison the Faux fur
DKNY (all olive every thing)
Nili Lotan skirt, Veda leather jacket, Topshop top, and Jimmy Choo shoes
PH5 jumpsuit and Jimmy Choo shoes.
Alexander Wang
Moschino jacket, Dior dress, and Chanel belt.
Fame and Partners dress, Weslah jacket, Carolina Mato gloves, and Shoe Dazzle shoes
Namilia bra, Moschino skirt, Dior belt, and Casadei shoes.
ki ukweli Keke ana slay lakini hasikii baridi? Ni mwendo wa kufa na fashion
Tupe maoni yako kupitia
Facebook -afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Instagram – afroswaggamag
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…