SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KELLY ROWLAND ANATUPA GREEN & PINK FEVER
I'm A Celebrity

KELLY ROWLAND ANATUPA GREEN & PINK FEVER 

Mwanamuziki Kelly Rowland ame post picha katika mtandao wake wa Instagram akiwa amevali Suit ya kijani kutoka Akris spring 2017 collection.

kelly_rowland_1_embed

Suit hio ina depp V blazer huku suruali yake ikiwa ni bwanga, Kelly hakuishia hapo alivaa na koti refu la pink

15057200_1515742738442731_8707001570694266880_n

na small handbag kutoka lepetite joueurs ambayo ina urembo wa pink, gold, kijani na nyeupe na nyeusi

15253235_1829374020655193_29417218852782080_n

amevalia suit yake hii akiwa na low cut hair style na nude make up. Tumependa muonekano huu

Tuamie Wewe maoni Yako kupitia

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook  – afroswaggamag

 

Related posts