Miezi hii ni miezi ya baridi huko kwa wenzetu, lakini tofauti na kwetu huko kwa wenzetu they keep it stylish hata kama kuna mabarafu wana jaribu kuwa fashionable. Ndio maana ukiwa kwenye social network utaona miezi hii wengi wana vaa long coats, fur coats na boots. Hio ime tokea pia kwa mwanamuziki Kelly Rowland tuna weza kusema Kelly is our winter fairy mwaka huu.
Ni jinsi ambavyo Kelly ana style mavazi yake (well hatujui kama ana ji style au ni stylist wake ila atakuwa ni stylist tu), she keeps it fashionable, chic & colorful. rangi zake ni very calm ila ana kuvutia yani umtazame tu
Full black Velvet outfit na Grey boots
tume penda hii picture na outfit yake, amevaa sweta la grey pleated skirt na grey boots, short hair na miwani,. Mwanae ni mzuri Ma Ash Allah
Velvet is a thing kwa sasa na ni nzuri kipindi hiki cha baridi, hapa Kelly ame vaa Velvet trouser, Long coat ya gold na simple make up we are in love
hii ni ile outfit ya mwanzo ya full black hapa akiwa ame ongezea statement long french coat na its stunning
Kelly looks good even in pajamas
Velver sweat pants, seems like grey boots ni favorite yake, you can never go wrong na white t-shirt akiwa ame ongeza na color full coat
je umependezewa na mtoko upi wa Kelly
Tumabie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 6679 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kelly-rowland-na-style-zake-katika-msimu-huu-wa-baridi/ […]