SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KENDALL JENNER TAYARI YUPO 2019 KWA HII DENIM PANT
I'm A Celebrity

KENDALL JENNER TAYARI YUPO 2019 KWA HII DENIM PANT 

Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kutengeneza meme kuhusu kaka zetu wanavyo vaa suruali zao, wengi wakiwa wana sema mwishoe hawato vaa kabisa nguo

lakini pia imeonekana kwa wadada kuwa too much na hizi styles za jeans ila kwa the Jenner’s wao wanaona kawaida tu kuvaa hizi jeans ambazo sisi zina tupa a mmmh feelings alianza Kyle kwa kuvaa Ripped jeans ambayo ime chana nyuma kwenye kalio

tulishangaa na kusema nani atavaa hizi but to our surprise watu walizivaa lol anything for fashion sake. Alhamisi dada wa Kyle anaeitwa Kendall Jenner ambaye kwa sasa ni model mkubwa sana alionekana na hili vazi akiwa ame valia striped shirt na hii pensi au sijui suruali ambayo ime chanwa well labda muiangalie kwanza kabla hatuja idadavua

Ukiangalia kwa makini hiko kivazi utaona kuna kama mkanda ume ning’inia ukaja mpaka chini huku ukafungwa yaani ni kama ilikuwa suruali waka ichana iwe pensi lakini kule kwa kuingizia miguu na sehemu ya hips wakaiacha (if it make sense) hii pia ika tufanya tuwaze nani atavaa hii, je is this another trend ambayo the Jenners wana kuja nayo ikumbukwe dada yao Khloe Kardashian ana kampuni ya jeans anakuja nayo Je hii ni moja wapo ambayo inakuja kutoka kwao? let us take seat sip some tea huku tukiwa tunasubiri kuona what next. By 2019 hatuto vaa nguo kabisa just thinking out loud

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

2 Comments

  1. สล็อตเว็บตรง

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kendall-jenner-tayari-yupo-2019-kwa-hii-denim-pant/ […]

  2. Dave T Bolno

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kendall-jenner-tayari-yupo-2019-kwa-hii-denim-pant/ […]

Leave a Reply