SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kenyan Fashionista’s And Bloggers At The The Launch Of Mango Store Kenya
Mitindo

Kenyan Fashionista’s And Bloggers At The The Launch Of Mango Store Kenya 

Mango ni clothing design na  manufacturing company,ambayo ilianzishwa mwaka 1995 na wakaka wawili ambao ni ndugu Isak Andic na Nahman Andic mwaka 2000 kampuni hii ilifungua first online store yao, lakini kadri muda unavyozidi kwenyda wanakua na sasa wanamaduka kadhaa Nchi mbalimbali na Juzi walifungua duka lao lingine Nchi jirani yetu hapo Kenya litakuwepo katika west gate mall. Hopeful na kwetu watafungua soon.

Fashionista’s na bloggers mbalimbali walifika katika launch hii ya duka hili la Mango na sisi ni nani basi mpaka tuache kuwaletea taarifa za nani alivaa nini na je tuna clap au slap?

Youtuber Yasmin Af au @ya7ska, huyu ni hijabista kutoka Kenya alivaa gray skirt, black turtle neck top, akamalizia muonekano wake na back blaze,black ankle boots zenye details za gold,mkoba mweusi, gold statement earrings to match the shoes details na black head wrap. We clap on this look kufikiria kwamba yeye ni hijabista na ame pull off such a stylish outfit she deserve’s our claps. Love it.

Darina Anstis, A.K.A @MadusaKarma, Model & Social Media influencer yeye alifika kwenye event hii akiwa amevalia all white, amevaa all white tulle sheer dress, white platform open toe boots, wakati kichwani amemalizia na long lemonade braids, this look is very stylish tumependa kwamba ame dare kafikira outside the box, japo the store ni ya mavazi lakini tunadhani hii outfit ilikuwa a bit extra for the occasion we clap for the daring but slap it kwa sababu haijafit kwenye hii event.

Youtuber & Fashion designer  Bridget M Shighadi @bridgetshighadi, we love this outfit of her’s proper kwa hii event the not so casual look yet fashionable, amevaa denim trouser  white top kwa juu amevalia na denim coat/kimono, black boot, na black beret amemaliza na few accessories na min handbag, we are definitely clap for Bridget.

Fashion Stylist BEATA OTIENO @bigeyed_bee, yeye aliamua kuwa sexy in this orange blazer dress, ambayo ilionyesha major cleavage ( she has the chest for it) amemaliza muonekano wake na big clutch nyeusi, wakati kichwani akiwa na braids na simple makeup, we are clapping for this lady here.

 The boys hawakuwa nyuma pia we love this duo ya Randy Gowon kushoto, Brian Msafiri killed with the all black outfit and red beret, proper na Sean Andrew we clap for Brian Msafiri and Slap Randy Gowon na Sean Andrew too formal for a store launch.

stylist Winnie Odande @winnie.odande, yeye aliamua kuwa na black outfit ame – add na animal print boots, this outfit was hella confusing alot is going on but yet very fashionable, we just see statement over statement we don’t like it but we do that moment when a stylist confuse you, well afroswagga mates leo tunawaachia hii assignment tuambieni hapo chini how do you like this outfit? Clap or Slap?

The World Has Become A Jungle Everyone Is In Animal Prints

 

 

Related posts

1 Comment

  1. แทงบอล

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kenyan-fashionistas-and-bloggers-at-the-the-launch-of-mango-store-kenya/ […]

Comments are closed.