Tulim’miss Keri Hilson hasa kwa kuto kutoa nyimbo siku nyingi na kumuona alivyo sasa makes us wonder kwanini hatoi nyimbo mpya, we all know Keri Is A Slayer likija swala zima la mavazi Keri does not play. Katika Event ya Cocktail With Claire iliyo fanyika huko Atlanta Keri Hilson nae alikua mualikwa katika sherehe hio,
Keri alivaa gauni la kata mikono la Jeans akiwa kasukia rasta (braids) na amepaka make up kidogo sana (natural look makeup) she looked Flawless
Did You Notice the Wooden Accessories? ( mapambo yake yalikua ni bangili na pochi za mbao) amependeza mno and tuna tamani arudi kwenye game any time soon
On Makeup ni kapaka eye liner, na lip bum, white nails na pete we love this look on her
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 7505 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/keri-hilson-slays-ndani-ya-strapless-denim-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keri-hilson-slays-ndani-ya-strapless-denim-dress/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/keri-hilson-slays-ndani-ya-strapless-denim-dress/ […]