eid-mubarak-moon

AfroSwagga inapenda kuwatakia wasomaji wetu wote kheri ya sikukuu ya Eid, Na Mola atujalie sote kusherehekea vema kwa sikukuu hii Tukiendelea kudumisha amani na upendo miongoni mwetu.

Eid hawezi kuwa eid bila kuhusiana na mitindo, vaa vizuri wewe na familia yako sherekeheni siku kuu hii ya leo maana haitatokea nyingine kama hii katika mwaka huu.