Jana Mwanamitindo na pia Owner wa Kylie Cosmetics Bi. Kylie Jenner ame timiza miaka 19, Birthday yake hii haikua kubwa na yenye mbwembwe sana kama ile ya mwaka jana, Mwaka huu watu walikua simple hakukua na ma suprise sana kutoka kwa hawa The Kardashian. Na hivi ndivyo watu mbali mbali walivyo tokelezea katika Birthday hio
Bithday Girl alivaa Balmain Sheer Arabesque Jacquard jumpsuit, ambapo ilionekana kumsumbua kidogo kutokana na kuwa ana vicha baadhi ya sehemu za mwili wake kwa kutumia mikono, Jumpsuit hii ina uzwa $2,612 ambapo haiji na belt, belt Kylie ame iweka mwenyewe
Mama wa Kylie, Kris Jenner nae hakuwa nyuma japo birthday hii hakuwa too complicated ame vaa chic and nice kwa umri wake
Kourtney alivaa mini-leather dress akamalizia na lace up boots hii ndio favorite outfit yetu usiku huu wa Kylie
Kendall alivaa all black hatuwezi kusema sana kuhusu mtoko wake 50/50
Kim well tunajua always huwa ana penda attention wakati wenzie wote wamejaribu kwenda na memo ya black yeye alitokea akiwa ame vaa nguo nyeupe na ame debut tena ile style yake mpya ya kuvaa kijibelt na t-shirt
Karruechealikuwepo pia akiwa ame vaa sweat shirt na over knees yeezy boots… (hatukuwahi kujua kae ana urafiki na hii familia na ina semekana Chris Brown alikuepo pia.. mmmh)
Khloe Kardashian ana alionekana kuwepo pia na alipata attention yetu kutokana na hair style yake mpya
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/khloekim-na-wengine-katika-kylie-19th-birthday-party/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/khloekim-na-wengine-katika-kylie-19th-birthday-party/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/khloekim-na-wengine-katika-kylie-19th-birthday-party/ […]