Kidoti Limited inawaletea Bonge la Bonanza ndani ya Shule ya Jangwani High School siku ya tarehe 10 Oktoba 2015, Jumamosi hii.. Kutakuwa na Activities za kutosha tu, Kuimba, Kudance, Fashion Show na mengineyo mengi.
Mashule Yooote Yooote Yooote Dar Es Salaam mnakaribishwa..
Wale wa Azania, Kisutu, Zanaki, Jamhuri, Mzizima The Agakhan, Dar Es Salaam, Mnazi Mmoja, St Joseph, Kibasila, Jitegemee, Makongo, Mbezi Beach, Kenton, Loyola, St Anthony,Shaaban Robert St Marks… Shule zoooooote, Tag na wenzio na shule zao uwaambie KIDOTI BONANZA Jumamosi hii ni kwa ajili yao. Mambo ni moto, Kutupia na Kupoa bila kusahau surprises kibao kutoka kwa WASANII kibao.. Na Ticket ni shilingi elfu mbili tu, getini ni elfu tatu na mtu mzima ni shilingi elfu 10. Tickets zinapatikana KIDOTI SPOTS zote zilizopo UCHUMI SUPERMARKETS na KARIAKOO, pia JANGWANI Sec School au unaweza mfollow @cierarockss @cierarockss kupata tickets.
Kariiiiibuuuni Wooooooteee Jumamosi Hii Jangwani Secondary! #Kidoti #KidotiBonanza2015 #KidotiBonanza c #Schools @official_kidoti @cierarockssĀ @jokatemwegelo
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kidoti-kupeleka-bonanza-jangwani/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kidoti-kupeleka-bonanza-jangwani/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kidoti-kupeleka-bonanza-jangwani/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kidoti-kupeleka-bonanza-jangwani/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kidoti-kupeleka-bonanza-jangwani/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 85435 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kidoti-kupeleka-bonanza-jangwani/ […]