SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kiki Zimba Swahili Fashion Week Collection 2015
Mitindo

Kiki Zimba Swahili Fashion Week Collection 2015 

Tunajua kwamba kuna sehemu moja tu ambapo utapata kushuhudia collection za Wabunifu wetu kutoka Tanzania basi ni katika Jukwaa na Swahili Fashion Week, leo katika throw back tunakuletea Collection ya Mbunifu Kiki Zimba ambayo alii-debut katika jukwaa la Swahili Fashion Week mwaka 2015.

Kiki ni moja kati wa wabunifu ambao Tanzania wanahitaji kujivunia, design zake ni nzuri na ana finishing nzuri za mavazi yake. We love her for that.

Kiki ni moja kati ya wabunifu wanao tumia vitambaa vya kawaida lakini ana vifanya vionekane unique kwa mishono yake.

Kiki ali debut collection hii ikiwa na ina mbalimbali za mavazi, kulikuwa na magauni, skirts, suruali etc lakini pia aina mbalimbali za fabric, floral na plain

Tulipenda hii floral dress ambayo kama unapenda kuwa unique unaweza kuivaa kwenye reception yako, mshono upo simple lakini finishing yake ni nzuri sana.

How cute are these two pieces?

Tulipenda pia hii two set ya kitenge top na Max skirt, as we all know maxi skirt ni moja ya essentials za kuwa nazo lakini pia kitenge ni asili yetu.

Tulipenda pia hii burgundy short dress ambayo inaweza kuvaliwa kwa bride maids lakini pia hata wedding guest.

Hii Mixture ya kitenge na satin pia ilikuwa favorite yetu unaweza kuvaa hili vazi katika hasuri kama mgeni mualikwa na kitchen party

Wedding Dress tungependa zaidi kuliona vizuri kama model asingelishikilia but kwa kuliona hivi tu tumelipenda something simple and cute.

Alikuwa na hizi neutral color satin pieces ambazo nazo tulizpenda sana

Kiki Collections are always wearable, zinavaliwa na watu wowote lakini pia zipo very neat na well coordinated.

Related posts

1 Comment

  1. see

    … [Trackback]

    […] There you will find 46514 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kiki-zimba-swahili-fashion-week-collection-2015/ […]

Comments are closed.