Kim Kardashian West aliuaga mwaka 2016 vibaya kwa kuibiwa baadhi ya vito vyake vya thamani, Kim Kardashian akaamua kupumzika katika kila kitu ikiwemo na mitandao ya kijamii. Ila ame rudi now na style zake ndizo zinazo tutia mashaka je walimuibia  na kabati lake la nguo? amekua akivaa nguo ambazo hatuja zoea kumuona nazo ni kama ame rudi nyuma hivi kiasi fulani

amekuwa akionekana mno kwenye masweta na masuruali makubwa makubwa, we miss the old Kim Kardashian. Hatumaanishi The nudist Kim hapana ila The Stylish Kim

Tuna miss vile ana pendezaga hata akiwa mitaani, picha ya juu alikuwa anaenda/kutoka dinner date na Kanye trust us kama ingekuwa ni zamani lazima ange slay akatupa cha kuongelea midomoni

 

 

distressed Jeans na makoti ndio yamekuwa mavazi yake siku hizi well Kim Be Back Soon, Hakuna uchungu kama wa kuzaa ila ulikuwa ukirudi fasta kwenye ku slay kwako plus Flat Tummy usitufanye tuamini una penda gold zako zaidi. Pia hatumaanishi kwamba hatuja umia alivyo ibiwa La Hasha ila ni miezi sasa toka October 10 jamani… kitu kimesha enda kimeenda tugange yajayo anyways Yeezy will buy another one’s

Kim K na Kanye West

Wasiliana nasi Kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz