The Council of Fashion Designers of America kwa kifupi zinaitwa CFDA ni tuzo ambazo hutolewa kwa yoyote anaye husiana na fashion & accessory designers. Imefanyika jana Brooklyn Museum, New York City, New York, United States, na watu maarufu mbalimbali walihudhuria hawa ndio tuliopenda mitoko yao
Issa Rae alikuwa host wa siku hii alivaa blue jumpsuit kutoka kwa Pyer Moss na belt nyeusi iliyo andikwa “Every Nigga Is a Star” amemalizia muonekano wake na mismatched earrings as tulisha wahi kusema hii ndio trend kwa upande wa accessories sasa
Ashley Graham gave us all shade of nudes akiwa amevaa gauni kutoka kwa Wearing Vera Wang ameacha lipstick iongee & we love it, tungechagua style nyingine ya nywele sababu hii imemfanya aonekane kawaida.
Gigi Hadid alivaa Versace head to toe
Ciara
Jasmine Sanders oping in a blue eye shadow trend
Lupita Nyong’o Wearing Versace
Cynthia Erivo
Sara Sampaio akiwa amevalia nude dress kutoka kwa J. Mendel
Kim Kardashian West alivaa two pieces kutoka kwa Rick Owens kama kawaida showing off her abs, tumependa the high bunny, na jinsi alivyo make statement na jewelries
Kendall Jenner alihudhuria pia yeye alivaa purple ultra violet kutoka kwa Alexandre Vauthier
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kim-kardashian-ciara-lupita-nyongo-na-wengine-katika-red-capet-ya-cfda-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kim-kardashian-ciara-lupita-nyongo-na-wengine-katika-red-capet-ya-cfda-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kim-kardashian-ciara-lupita-nyongo-na-wengine-katika-red-capet-ya-cfda-awards/ […]