Linapo kuja swala la Fashion huwezi kumuescape Kim Kardashian she is all over from bandage dress, crop tops, hot pants, killing on red carpet’s etc, hivi karibuni tume notice Kim K namapenzi yake katika kuvaa sweat pant na hazivai kama ambavyo wote tunazivaa labda yupo nyumbani au anaenda gym hapana anavaa katika mitoko yake mtaani na anavaa na heels huwezi kuamini ni sweatpants (we appreciate you Mrs. West)

Kama huna idea uvae nini Ijumaa ya leo na una sweat pant ndani hizi ni idea chache ambazo unaweza kuiga kutoka kwa Kim

Seems like anazo nyingi za rangi moja (gray au nyeupe)

Tunapenda jinsi anavyo zistyle it makes you forget kama ni sweatpants

Showing off her abs

 

Kim kardashian na mwanae Saint West

Comments

comments