SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kim Kardashian  Kikaangoni Tena
Mitindo

Kim Kardashian Kikaangoni Tena 

Mfanyabiashara Kim Kardashian ameingia kwenye headlines tena kwa kuharibu Marilyn Monroe’s Iconic dress aliyoivaa kwenye Met Gala ya mwaka huu, kama una kumbukumbu nzuri Kim Kardashian alisema amejikondesha ili tu atoshe kwenye gauni hio, lakini ikaja kusikika kwamba hakuweza kuingia na gauni ilichanika ikabidi avalie na ile fur coat.

Well gauni imerudishwa kwenye museum na kama kawaida picha zimepigwa na imegundulika imeharibika kweli, ambapo imeonekana gauni ikiwa ime-miss some crystals and loose threads

Gauni hii ambayo ili buniwa na mbunigu Jean Louis, ilivaliwa mara ya kwanza May 19,1962 na Marilyn Monroe , katika fundraiser event ambapo Monroe aliimba “Happy Birthday, Mr. President”, kwaaliye kuwa US president John F. Kennedy.

The delicate dress, embellished with over 2,000 hand-stitched crystals, was bought by Ripley’s Believe It or Not! franchise in 2016 for $4.8 million.

Related posts