SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kim Kardashian Na Linah Sanga Slaying This Low Cut, Off The Shoulder Two Pieces
Mitindo

Kim Kardashian Na Linah Sanga Slaying This Low Cut, Off The Shoulder Two Pieces 

Tunapenda tunapoona watu maarufu wamevaa vazi la aina moja, na hii si kwa sababu ya kuona nani amevaa vizuri zaidi ya mwingine lah hasha bali ni kuona namna ambavyo unaweza ku-style hio outfit kwa namna tofauti tofauti, lakini pia size variety, na leo tunamuona mwanamuziki Linah Sanga na mwanadada Kim Kardashian wakiwa wamevaa hii outfit moja kwa namna tofauti

Kim Kardashian ali attend beauty con LA, akiwa amevalia hii super low-cut, off-the-shoulder Dolce & Gabbana black outfit, huku kichwani akiwa ameweka sleek pony tail hair style, nude makeup, lace up nude heels amemalizia na small handbag, with that body she looked stunning per usual.

Wakati mwanamuziki Linah Sanga yeye alivaa same outfit na clear ankle boots, nude makeup na kumalizia na rasta za rangi rangi.

Tumeona kwamba Kim na Linah wana aina za miili tofauti lakini wote wamevaa hii outfit moja, watu wengi huwa wanaogopa kujaribu kuvaa mavazi wakisema hilo body mimi sina i cant pull that off, jifunzeni hapa.

Related posts