SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kim Kardashian Still Has The Flat Tummy And Flawless Skin In Uganda Too ( Quit The Edits)
Mitindo

Kim Kardashian Still Has The Flat Tummy And Flawless Skin In Uganda Too ( Quit The Edits) 

Let us sit sip this coffee on our coffee table ( afroswagga shade chamber) na tuongelee kuhusu hizi edits ambazo watu maarufu wanazitumia kupata “perfection”  until they been capture by Techno Wereva Camera na hapo ndipo rangi zao za ukweli na miili inapo tokea,

Katika ulimwengu wa watu maarufu kuna aina tatu za hustle ambazo unatakiwa kuzichagua, kudanganya (edits), Kuwa mkweli ( put work on it au kujikubali vile ulivyo ( nothing wrong with a fat tummy & flat booty no body is perfect), Tatizo la watu maarufu wengi kutoka Africa wanataka perfection aonekane ana flawless skin, flat tummy, big bootie bila ya kuweka effort za kufanya mazoezi,kula health au hata kutumia vipodozi vizuri kufanya ngozi zao ziwe nzuri, badala yake wanakimbia kwa ma official photographer ambao nao wanataka hela & mteja kwao mfalme.

Kesho ukikutana nao kwenye majukwaa una baki kujiuliza kweli huyu ndiye ninao muonaga instagram? the answer is yes only the one you see there is unfiltered version, Being Kim Kardashian is no joke, hata kama atakuwa ana fanya mazoezi au kwenda kwa doctor Miami bado amechagua kufanya effort muonekano wake kuwa ulivyo sasa, Tumeona picha za Kim Kardashian akiwa Uganda & we couldn’t help but noticing the flat tummy & flawless skin bila ya kupigwa picha na photographer wake wala makeup on.

Kama Kim Kardashian siku akiamua kuuza flat tummy tea au kipodozi cha ngozi we will definitely buy it, kwa maana tumeona ana tumbo dogo kweli hawa wa kwetu wa before and after na wanapiga picha na ku-editiwa sorry sis we cayn’t be fooled let us see the real you before selling us the product you didn’t use. It high time kwa celebrities wetu kunyanyuka na kuput work in it, Kim Kardashian is making millions kwa kuuza au kutangaza product za vipodozi sababu watu wanaona matokeo kutoka kwake awe katumia au lah anatupuliza kwa matokeo ambayo tunayaona, lakini sio ninyi ambao mnatung’ata bila kupuliza siku tukikutana na nyinyi afadhali ya sisi, God Is Watching You.

 

 

Related posts