Kim Kardashian ana tegemea mtoto wa watu lakini yeye na mumewe Kanye West wameamua kupandikiza mbegu kwa mtu mwingine tofauti na Kim, Kim ameonekana akiwa ana fanya shopping na dada yake Kourtney Kardashian kwa ajili ya wototo wao huku akiwa amevalia cool casual, Hii outfit inaweza kukufanya u-wish kuwa this cool when you wear casual outfits
Kim amevaa a tshirt yenye rangi mbalimbali ikiwepo kijani na gray, huku chini akiwa amevalia kijipensi cha gray amemaliza muonekano wake na yeezy lace-up boots, nywele zake akiwa amezibana juu na miwani. ni very rare kumuona Kim Kardashian looking this casual, Tumependa the total package, the fact that ametoka kama mtu wa kawaida with less make up & too much cloth on her.
Kortney yeye alichagua short denim pant, off shoulder black top, clear sandal-heels zilizo andikwa jina lake “Kourty” because she can, amemalizia mutoko wake na black shades (extremely chic)
Don’t you wish to be this stylish with your sister? post some pictures on social media and #sistergoals
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kim-kardashian-wore-casual-outfit-while-baby-shopping/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kim-kardashian-wore-casual-outfit-while-baby-shopping/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kim-kardashian-wore-casual-outfit-while-baby-shopping/ […]