Expect anything from Kim Kardashian, Week Hii alikua anaenda date na mumewe Kanye West na mtoko wake ulitufanye tuseme “OMG” Oh My God kwa kiswahili ni Mungu Wangu. Kwa maana kila kitu kipo nje kaziba tu baadhi ya maeneo ni kama ana enda beach na sio kutoka kwenye date. Wengi tume zoea kuvaa gauni fupi au chochote sexy lakini kwa Kim hii ni too much sexyness
Kim aliongozana na Kanye ambapo Kanye alivaa all white, wakati kim alivaa nyeusi na nyeupe
Ni kama kavaa swimming cost ndani na kijisketi kinacho onyesha sana maumbile yake ya ndani, swimming cost yake ime ziba kidogo tu kifuani ambapo alivaa na lace up heels nyeupe, fur clutch nyeupe na akamalizia muonekano wake kwa kuvaa choker
Je unamaoni kuhusu muonekano huu? usisite kutuambia kupitia ki box chetu cha comment hapo chini au tembelea
Facebook -afroswaggamag
Instagram – afroswagga
twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…