SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KIMONO MTINDO UNAOKUJA KWA KASI
Mitindo

KIMONO MTINDO UNAOKUJA KWA KASI 

Kama ni mpenzi wa mitindo itakua umeona hii kitu ambacho kwetu Tanzania tunaita Kimono lakini hili ni neno kutoka china ambalo linamaanisha “thing to wear” au “ki-wear” wachina wana vivaa katika mitindo tofauti tofauti lakini kiingereza zinaitwa “the long line vest”. Imekua ikivaliwa na watu mbali mbali kwa namna tofauti tofauti, Kimono ni mtindo ambao upo na unawezekana ukachukua muda kuondoka kutokana na kwamba unavaliwa na nguo za aina zote (sketi,suruali,gauni na hata pia pensi).

Namna ambavyo watu mbalimbali wame vaa kimono

1515493_1721090978126323_2147407964_n 10655042_958984694148845_573809500_n Facetune-3-e1445952381886-680x1024 summer2015-075-683x1024

Related posts

3 Comments

  1. redirected here

    … [Trackback]

    […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kimono-mtindo-unaokuja-kwa-kasi/ […]

  2. see this here

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kimono-mtindo-unaokuja-kwa-kasi/ […]

  3. important site

    … [Trackback]

    […] Here you can find 89957 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kimono-mtindo-unaokuja-kwa-kasi/ […]

Leave a Reply