SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KINACHO PENDWA KWA SASA – SILVER METALLIC BOOTS
Mitindo

KINACHO PENDWA KWA SASA – SILVER METALLIC BOOTS 

Well unajua kitu kina penda ukiona watu maarufu wapenda fashion wakiwa wana kivaa sana na imeonekana hizi metallic boots zina pendwa zaidi kwa sasa as tunaona watu wengi wakiwa wame vivaa kwa namna tofauti tofauti mara ya kwanza tulimuona navyo trend setter Kim Kardashian akiwa amevivaa

truth be told we dint like them, kama ni jinsi alivyo vi style au hatukuona uzuri wake lakini tukaanza kuona baadhi ya watu pia waki vivaa alifuata Chantel Jeffries  instagram model ambaye ana hisiwa kutoka ki mapenzi na mwanamuziki Justin bieber

lakini pia kabla hatuja pumzika model mwingine tena Anu Gold alionekana kuvivaa hii kidogo ilituvutia as you know denim can make anything looks calm & good

pale tulipo thought  sasa trend imeisha waka tu prove wrong baada ya dada Nicki Minaj kuwa spotted amevivaa huko Paris

Na jana akaja kumalizia kubwa la maadui Rihanna nae alikuwa spotted amevivaa paris

Tuambie kuhusu maoni yako juu ya trend hii nay au yay? kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

9 Comments

  1. superslot

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  2. wavy cap mushrooms ireland

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  3. Where to Buy Changa DMT online Brisbane

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  4. dfurbabies

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  5. all slot auto wallet

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  6. Click Here

    … [Trackback]

    […] Here you will find 54573 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  7. military vehicle shipping

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

  8. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kinacho-pendwa-kwa-sasa-silver-metallic-boots/ […]

Leave a Reply