Another week means another round of celebrities styles, week hii tumeona namna ambavyo watu maarufu mbalimbali wametumia kilemba cha kitenge katika mionekano yao. Ikiwa wigs zimeshika chat na watu kusahau utamaduni huu wa vilemba tumefurahi kuona wanaurudisha na ku-style kuonekana katika mionekano ya sasa.
Kitu kizuri zaidi ni namna ambavyo wamevalia vilemba hivi huku wakiwa na makeup zao nzuri kabisa kuonyesha sio tu vilemba ni vya kuvaa nyumbani bali unaweza kuvaa ukapaka makeup yako na kutoka katika mitoko mbalimbali
Kutoka Tanzania tumewaona Elizabeth Michael na Jacqueline Wolper wakiwa wamevalia vilemba vyao vizuri huku wakiwa na face beat zilizotulia kabisa.
Lakini pia kutoka Nigeria tumewaona Nengi na Nancy Isime Wakati Kenya iliwakilishwa na Pinky Ghelani
Well kama ulikuwa una mtoko wako na hujui ufanye nini nywele zako, au unapenda vilemba na hujui style ipi ufunge unaweza kuwa inspired hapa. Let us know yupi kakuvutia zaidi.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kitenge-head-wrap-game-strong/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kitenge-head-wrap-game-strong/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kitenge-head-wrap-game-strong/ […]