SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kivazi Cha Jokate Mwegelo Katika Kisarawe Charity Gala Awards Night
Mitindo

Kivazi Cha Jokate Mwegelo Katika Kisarawe Charity Gala Awards Night 

Jumamosi kulikuwa na event ya Kisarawe Charity Gala, ambapo hii event ilikuwa inahusuiana na harambee ya kuchangisha ujenzi wa shule kwa ajili ya Watoto wa Kike. Ilifanyika ukumbi wa mlimani city na watu maarufu wengi walihudhuria, leo tutaongelea vazi alilolivaa muhusika ambae ni Jokate Mwegelo katika harambee hii,

Tulipata muda wa kuuliza mate zetu katika ukurasa wetu wa instagram ambao kulikuwa na mkanganyiko ya waliopenda na wasiopenda vazi lake, sisi tunatoa two cents zetu kwenye muonekano wa Jokate Mwegelo

Jokate alivaa black black dress yenye embroidery flowers za gold yenye sheer long sleeves, gauni hii haikuwa ndefu kufika chini na wala sio fupi sana, it was a ballerina length ball dress kutoka kwa mbunifu Mac Couture, sisi tumependa this look as shughuli ilikuwa ya kwake alikuwa na movement za hapa na pale, the length of this dress was perfect katika kwa Jokate siku hii.

Lakini pia tumependa kwamba huu mtindo umefanywa kwa tofauti, tumeshaona magauni ya design hii marefu mengi, seeing imepewa utofauti we are here for it, amemalizia muonekano wake na black pumps, huku upande wa make up akiwa amepakwa glitter eye shadow, perfect bows na nude lipsctik

Lets say kwamba huu muonekano wake tunaupa 7.5 she did great, the only thing ambayo tunaweza kusema sisi tungejaribu kufanya ni ku-add more life kwenye outfit yake.

Related posts

4 Comments

  1. พนันบอล

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kivazi-cha-jokate-mwegelo-katika-kisarawe-charity-gala-awards-night/ […]

  2. mounjaro study for weight loss​

    … [Trackback]

    […] Here you will find 23297 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kivazi-cha-jokate-mwegelo-katika-kisarawe-charity-gala-awards-night/ […]

  3. you could try here

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kivazi-cha-jokate-mwegelo-katika-kisarawe-charity-gala-awards-night/ […]

  4. pgslot

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kivazi-cha-jokate-mwegelo-katika-kisarawe-charity-gala-awards-night/ […]

Comments are closed.