SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kongole Zetu Kwa Top 3 Ya Miss Tanzania 2022
Mitindo

Kongole Zetu Kwa Top 3 Ya Miss Tanzania 2022 

Kama ambavyo wakiharibu tunasema basi pale wanapo fanya vyema wasifiwe pia, Top 3 ya Miss Tanzania 2022 inastahiki pongezi, toka wapokee taji hili wamekuwa wakijitahidi sana kuonekana vyema na kwamba wanastahiki taji hili.

Tunapenda namna wanavyo jibeba (carry) kuanzia mionekano yao, mavazi, viatu, makeup namna ambavyo wanashirikiana na wabunifu wadogo wa hapa hapa Nchini kwetu.

Tumevutiwa na kwamba wanatiliia maanani taji lao na kutokujiachia kuonekana rough, kiukweli this year wako moto kwelikweli

tunatoa pongezi kwao na kuwaambia waendelee hivihivi na waanze kujiandaa mapema tukiwa tunaelekea Miss World.

Related posts

3 Comments

 1. Order magic mushroom online Melbourne

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kongole-zetu-kwa-top-3-ya-miss-tanzania-2022/ […]

 2. clenbuterol achat

  … [Trackback]

  […] Here you can find 59047 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kongole-zetu-kwa-top-3-ya-miss-tanzania-2022/ […]

 3. uniccv

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kongole-zetu-kwa-top-3-ya-miss-tanzania-2022/ […]

Comments are closed.