SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kourtney Kardashian & Travis Barker’s Wedding In Italy
Mitindo

Kourtney Kardashian & Travis Barker’s Wedding In Italy 

Finally Kourtney Kardashian na Travis Barker wamefunga ndoa huko Portofino, Italy. Kourtney na Travis walishafunga ndoa lakini ya kwanza ilikuwa ile normal one ambayo ilikuwa tu na watu wachache ila hii ya Italy ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.

Wedding theme ilikuwa Goth, watu wengi walivaa black kwenye sherehe yao hii. Wakati Muhusika Kourtney yeye alivaa a very short corset wedding dress ikiwa imeambatana na long veil akamalizia na white pumps, Travis alikuwa in black suit looks zote mbili zikiwa zinatoka kwa Dolce & Gabbana

Kris Jenner ndio alimu-walk Kourtney down the aisle

Wakati kulikuwa na wahudhuriaji ambao ni ndugu zake Kim, Khloe, Kylie & Kendall. Kim na Khloe walichagua kuendeleza theme ya Gothic kwa kuvaa black dresses.

Wakati Kylie na Kendall wao walivaa floral dresses,

well we all know Kourtney anakuaga na style za kipekeyake, so haija tushtua sana kuona harusi yake haina mambo mengi.

Related posts

2 Comments

  1. สมัครยูสเซอร์ฟรี

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kourtney-kardashian-travis-barkers-wedding-in-italy/ […]

  2. buy cambodian mushrooms Denver

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kourtney-kardashian-travis-barkers-wedding-in-italy/ […]

Comments are closed.