SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KOURTNEY & KENDALL WANAJARIBU KUIRUDISHA HII TRENDY
I'm A Celebrity

KOURTNEY & KENDALL WANAJARIBU KUIRUDISHA HII TRENDY 

Kourtney Kardashian na mdogo wake Kendall Jenner wame onekana kutaka kuirudisha hii trend ya Fanny Pack ( Fanny Pack ni vile vipochi vinavaliwa kiunoni mara nyingi huvaliwa na wauvaji wa vitu kama sokoni,madukani, mitumbani etc wana wekea fedha zao.) Lakini zamani kidogo ilikuwa a hit trend ambapo watu walikuwa wana vaa hivi vipochi kuwekea simu zao, accessory ndogo ndogo nakadhalika.

Kendall alivaa mom jeans, top nyeupe yenye maua maua, raba nyeupe akamalizia na miwani yenye scale nyeupe pamoja na channel fanny pack

akaja akaonekana tena akiwa amevalia play suit pamoja na monogrammed Louis Vuitton bum bag

Lakini dada yake Kendall aitwae Kourtney nae hakuwa nyuma alionekana kuvalia Fanny Pack kutoka kwa mbunifu channel

The Fanny Pack are back Je Mna Ifeel?

 

Related posts

Leave a Reply