SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kufuli Handbag Yenye Thamani Ya Tsh 281,891.04
Mitindo

Kufuli Handbag Yenye Thamani Ya Tsh 281,891.04 

South Africa Fashion Week bado inaendelea ikiwa ni siku ya tatu sasa toka ianze na watu maarufu mbalimbali wameonekana wakijitokeza kwenda kuangalia runways shows za wabunifu mbalimbali. Rapper kutoka South Africa Nomuzi Mabena A.K.A Moozlie ni moja kati ya watu maarufu waliotuvutia na fashion zao kutoka katika Fashion Week Hii. kilicho tuvutia zaidi ni hii handbag aliyobeba msanii huyu yenye muundo wa kufuli.

Lets say Moozlie amebeba handbag hii as a statement piece as ukiangalia outfit yake ni nzuri lakini to make it more bold ameamua kubeba hii pochi.

Pochi inatoka katika brand inayoitwa swankerswankerswanker kutoka South Africa na Imetengenezwa kwa mbao na steel tube (Body: wood, Handle: steel tube)

Moozlie alivaa a black dress na red Steve Maddensa over the knee boots ambazo alimatch na belt kiunoni akamalizia muonekano wake na hio pochi na glasses

The bag is everything lakini je sio zito? na ukiachanabaada ya fashion week kuisha atalibeba wapi?

tupe maoni yako kuhusu hii bag je utalinunua kwa thamani hio na utalibeba wapi?

Related posts

5 Comments

 1. Best DMT shop Victoria

  … [Trackback]

  […] Here you can find 58444 additional Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kufuli-handbag-yenye-thamani-ya-tsh-281891-04/ […]

 2. click over here

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kufuli-handbag-yenye-thamani-ya-tsh-281891-04/ […]

 3. penis prosthetic big penis big prosthetic big dildo erect penis prosthetic

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kufuli-handbag-yenye-thamani-ya-tsh-281891-04/ […]

 4. Web Hosting

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kufuli-handbag-yenye-thamani-ya-tsh-281891-04/ […]

 5. this article

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kufuli-handbag-yenye-thamani-ya-tsh-281891-04/ […]

Comments are closed.