SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KUKUA KWA MITINDO YA KIISLAMU
Mitindo

KUKUA KWA MITINDO YA KIISLAMU 

Kampuni ya Mavazi ya Abaya Addict. Ni moja kati ya kampuni za mitindo ya kiislamu zinazokuwa kwa kasi kubwa. Kampuni hiyo ambayo makazi yake ni Dubai katika Falme za Kiarabu. Ubunifu huu wa Abaya Addict unatarajia kujaza nafsi zote zilizowazi zinazoachwa na wanamitindo mbalimbali ambao wengi wao ukimbilia kubuni mavazi mengineyo na kukwepa mavazi kama Abaya wakiamini yanavaliwa na watu wachache hivyo wanahofia ukosefu wa masoko.
Lakini imekuwa tofautiĀ  kwa Abaya Addict, ambao wanatengeneza mavazi ya aina hii, tayari tumeanza kuona hata hapa nyumbani Tanzania wapo wabunifu wetu wadogo wadogo ambao wanaendelea kuongeza juhudi katika soko hili la Abaya kama vile Faryz Abbaya na Wengine wengi. Lakini Pia unaweza kutembelea tovuti yao www.abayaaddict.com ili ujionee kwa macho yako namna ambavyo ubunifu huu wa aina yake unavyokuwa kwa kasi isio ya kawaida. Kwa kutembelea tovuti yao unaweza kupata fursa ya kununua bidhaa zao moja kwa moja kupitia mtandao.

Picha kuonesha Baadhi ya Ubunifu uliofanywa na Abaya Addict.

1.Abaya 2.Abaya 3.Abaya 4.Abaya 5.Abaya 6.Abaya 7.Abaya 8.Abaya 9.Abaya 12.Abaya 13.Abaya 14.Abaya 15.Abaya 16.Abaya

Related posts

1 Comment

  1. cannabis shop scarborough

    … [Trackback]

    […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kukua-kwa-mitindo-ya-kiislamu/ […]

Leave a Reply