SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kumbuka Sheria Hii Unapoenda Kununua Mavazi
Mitindo

Kumbuka Sheria Hii Unapoenda Kununua Mavazi 

Unaweza kuwa mmoja ya wale watu ambao unaenda shopping na kununua tu mavazi bila ya kuwaza, mwishoe una end up na kabati ambalo lina nguo lakini hauna cha kuvaa. Lakini kumbe ukiwa unakumbuka sheria hii kila unapoenda kununua mavazi basi utapata mavazi ya kuvaa kila siku tena basi bila ya stress ( in Deogratius Kithama Voice)

  • The Three Outfit Rule

Sheria hii ni muhimu na husaidia kukufanya uwe na mavazi machache lakini yenye kufanya kazi vizuri na hii haisaidii tu kwenye mavazi bali pia kwenye ku-save pesa, hii rule ikoje basi? Hapa tunaongelea kuwa katika kila nguo unayonunua fikiria kama unaweza kui-style mara 3 kwa style tofauti, mfano unanunua blouse basi fikiria je unaweza kuivaa na skirt, suruali na pensi na je unaweza kuivaa kwenye sehemu 3 tofauti mfano kazini, casual na kwenye occasion muhimu

Ni hayo tu kwa leo tuambie wewe huwa unafuata sheria ipi unapoenda kununua mavazi?

Related posts