SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kuna La Kujifunza Kutoka Katika Sakata La Kizz Daniel
Mitindo

Kuna La Kujifunza Kutoka Katika Sakata La Kizz Daniel 

Ukiachana na kwamba Kizz Daniel amezingua kutokupanda kwenye show ambayo alilipwa na Wananchi walishatoa viingilio, lakini pia ametuonyesha ni namna gani watu maarufu kutoka Nigeria wapo makini na mionekano yao.

Kizz ambae alitakiwa kutumbuiza Jumapili iliyopita alionekana kushindwa kutokea eneo husika kutokana na kwamba bag lililokuwa na mavazi yake kusahaulika Nchini Kenya.

Kwa maelezo ya team yake wanasema kwamba aliwapigia simu baadhi ya wabunifu wa mavazi kutoka Tanzania ambapo alipofanikiwa kupata vazi ilikuwa too late.

Well major key alert aliwasiliana na wabunifu kutoka Tanzania hakutaka kwenda kununua mavazi madukani alitaka kitu unique kutoka kwa wabunifu wetu.

Aliweza kuvaa chochote jeans na t-shirt etc lakini aliamua kutafuta wabunifu, tunadhani its about time watu maarufu wajifunze lakini pia wabunifu nao wawe na mavazi tofauti maana mtu kama Kizz Daniel hatuwezi kumvalisha vazi ambalo tume copy kutoka kwao Nigeria (gubu la afro) anyways show itarudiwa Ijumaa hii na tutakuwepo kuona atakacho vaa Mr. buga. Well stylist na wabunifu tunadhani ana siku kadhaa mnaweza kuomba collabo mkafanya jambo (mawazo ya Afro).

Related posts

4 Comments

 1. YOURURL.com

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kuna-la-kujifunza-kutoka-katika-sakata-la-kizz-daniel/ […]

 2. Multiple streams of income

  … [Trackback]

  […] Here you can find 52310 additional Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kuna-la-kujifunza-kutoka-katika-sakata-la-kizz-daniel/ […]

 3. บาคารา

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kuna-la-kujifunza-kutoka-katika-sakata-la-kizz-daniel/ […]

 4. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kuna-la-kujifunza-kutoka-katika-sakata-la-kizz-daniel/ […]

Comments are closed.