SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KUSHEREHEKEA MIAKA 100 YA NYWELE ZA KIAFRIKA
Hair

KUSHEREHEKEA MIAKA 100 YA NYWELE ZA KIAFRIKA 

Zaidi ya watu mia mashughuri walifika  katika kusherehekea miaka 100 ya nywele za Kiafrika, shughuli hiyo ilifanyika jana.

Ulikuwa ni uzinduzi wa kipekee.

Na yote ni kuhusu uwezeshaji wa mwanamke wa Kiafrika.

Mandhari ya shughuli hii ilikuwa ni “Kila ndoto ni halali”

Darling Group, kama kiongozi wa soko la nywele  na biashara za huduma ya nywele Afrika , walitambulisha bidhaa zao mbalimbali za Aliyana professional kwa watengeneza nywele wote nchini Tanzania. Tukio hilo pia lilipambwa na wanamitindo mahili wa Tanzania

Wakati maonesho ya mavazi yakiendelea, wageni walitambuliswa  mfululizo za bidhaa za nywele  za  Aliyana Professional Shine na Aliyana Professional enrich zenye ubora wa hali ya juu katika kuimarisha nywele.

 

Wanamtindo  walipewa nafasi ya kuingiliana na watengeneza nywele hodari ambao Tanzania inaweza kujivunia nao.

usiridhie2

Tukio hilo lilibarikiwa na uwepo wa mwakilishi wa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Nnauye. Ambaye ni Mkurungenzi Idara Ya Sanaa na Utamaduni, Leah Kihimbi.

Mwakilishi mwandamizi wa kampuni hiyo hapa Tanzania, alizungumza kuhusu kundi hilo changa la Godrej Group lenye  miaka 119  likiwa na uongezeko la uwepo wake  barani Afrika, Amerika ya Kusini, na Asia.

Kundi hilo la Godrej Group ni wamiliki wa Darling Group katika nchi 14 za Afrika, ambapo Darling ni kiongozi wa soko la nywele na huduma za nywele.

usiridhie1

Msemaji wa kampuni hiyo aliwakaribisha wageni waalikwa   kuwa sehemu ya safari hii ya kusisimua nchini Tanzania, sababu bidhaa mbalimbali za Aliyana Professional ni kutoka katika uimara huo.

Related posts

4 Comments

  1. why not look here

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kusherehekea-miaka-100-ya-nywele-za-kiafrika/ […]

  2. Denver Cambodian Magic Mushrooms, Miami Mushroom Dispensary

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kusherehekea-miaka-100-ya-nywele-za-kiafrika/ […]

  3. psychedelic mushroom chocolate bars legal

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kusherehekea-miaka-100-ya-nywele-za-kiafrika/ […]

  4. turners

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kusherehekea-miaka-100-ya-nywele-za-kiafrika/ […]

Leave a Reply