SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KUTANA NA MODEL EVELYN KISAKA AKIONGELEA KUHUSU KAZI NA ULEZI
Mitindo

KUTANA NA MODEL EVELYN KISAKA AKIONGELEA KUHUSU KAZI NA ULEZI 

Ni kazi ngumu kidogo kuwa na kazi pia kulea mtoto, na leo tupo na mwanamitindo Evelyn Kisaka ambae kwa sasa amekuwa mama lakini pia ana soma chuo. Evelyn ana tueleza ni jinsi gani ana weza ku-manage kufanya vyote hivi na je ana plan gani na uanamitindo je atarudi tena kazini au ana taka kuwa mama kwanza? soma mahojiano yetu na Evelyn hapo chini,

Afroswagga – Hi Evelyn tuambie kidogo kuhusu wewe, ume anza lini modelling na nini kili kuinspire?
Evelyn – Well, My full name is Evelyn Yustas Kisaka, Nina umri wa miaka 23, mwanafunzi Chou kikuu Ardhi mwaka we nne sasa😊. I started modeling in March 2015 katika show ya mavazi iliyokwenda kwa Jina la Mercedes Benz by Ally Rehmtullah.. what inspired me ni kwamba I’ve always wanted to achieve something of my own..I wanted to earn something.. na vile I’m all grown plus I grew up being told that I have thepotential of becoming a successful model so I said why not try it??kwanza haitochukua muda wangu mwingi maana Chou changu nacho balaa 😅.

Afroswagga-hongera kwa kupata mtoto ni wa kiume au wa kike?

Evelyn – Asante😊.. it’s a baby boy 

afroswagga – hongera sana mara ya mwisho kukuona kwenye jukwaa ilikua peroni fashion night mwaka juzi kama hatukosei je  kama model na kwa sasa mama  una plan ya kurudi kwenye game au lah?

Evelyn I definitely will be back.. Mungu atupe uzima tu. Though Mara ya mwisho jukwaani was during the Swahili Fashion show ya December 2015

Afroswagga – Kama ndio ume jiandaaje? in terms ya kumuacha mtoto usiku? kurudisha mwili ulivyo kuwa nakadhalika?

Evelyn- I don’t plan on getting back now.. but soon after I graduate (God willing ) which is expected to happen December this year na Kijana atakua eleven months old.. mkubwa Kabisa for mama to go hustle for him😊. Na kuhusu mwili kwakweli I’m not doing anything so far maana matter of fact nahisi nimeisha zaidi.

Afroswagga – Kama ina wezekana tupe tips za nini una kula au kufanya siku nzima kurudisha mwili wako uwe ulivyo kuwa zamani as tunajua ukiwa mjamzito au mama mwili huwa unaongezeka.

Evelyn – for now.. I try and eat healthy kwakweli maana baby depends on me like 100% maana ni breastfeeding 24/7 lakini I’m thankful maana so far sijaona dalili za kuongezeka which could be caused by several things..could be labda ndo mwili Wangu or the fact that I’m busy with school na baby pia.

Afroswagga –Je unahisi wabunifu watakukubalia kurudi katika uanamitindo wakati umesha kuwa mama? au kunaugumu wowote utapitia? kama ndio kwanini?

Evelyn – wakinikataa kwakweli they’ll be making a mistake😅.. maana sijawahi sikia popote duniani a lady is denied a chance to take part cause they have a baby.. that’s applicable only in beauty pageants as far as I know.. kwahiyo sitegemei kupata usumbufu labda nifeli mwenyewe ☺

Afroswagga – una waambiaje mashabiki na ma model wenzio ambao watataka kujua nini kinakuja kutoka kwako?

Evelynbelieve in this industry… and I believe in myself..I’m hungrier than I was before..there’s still so much to explore with our Country kwa Tasnia hii..I look forward to being one of those that will have the honor of making our country proud☺.

Asante kwa ushirikiano wako na tuna kutakia kila la kheri Evelyn

Nashukuru kwa nafasi hii pia it was an honour.. God Bless You❤

 

oma, Dar es salaa

Related posts

2 Comments

  1. have a peek at these guys

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-model-evelyn-kisaka-akiongelea-kuhusu-kazi-na-ulezi/ […]

  2. read here

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-model-evelyn-kisaka-akiongelea-kuhusu-kazi-na-ulezi/ […]

Leave a Reply