kama ume penda mshono wa staa kutoka Tanzania na hukua unajua ni designer yupi ka buni hilo vazi basi hawa ndio top 3 ya ma designer wanao wavalisha watu maarufu tene hata hawajulikani lakini kazi zao ni nzuri mno
1) Elisha ana julikana kwa jina la Instagram kama @elisha.red.label huyu kawavalisha wengi ila iliyo vunja record ni gauni ya Wema Sepetu katika Black tie event
Wema Sepetu akiwa ame valishwa na Elisha
Gyver Meena akiwa katika vazi la send off alilo buniwa na elisha hii nayo imetuvutia mno
kazi nyingine ya Elisha
2) Elfrida Emmanuel unaweza kumpata Istagram kama @fifi_sugardesign
Fifi ana mvalisha Hamisa Mobetto mara nyingi
Kazi nyingine ya fifi
3) Kyamirwa yeye hutumia jina lake hilo hilo Instagram @kyamirwa
kyamirwa alimvalisha Kajala katika uzinduzi wa Filamu yake mpya ya SIKITU
Akamvalisha Bi Sandra au mama Diamond Platnumz
Kazi nyingine za Kyamirwa
Unaweza kuwafollowInstagram kama ume penda kufanya nao kazi
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-wabunifu-wanao-wavalisha-mastaa-kwa-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-wabunifu-wanao-wavalisha-mastaa-kwa-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-wabunifu-wanao-wavalisha-mastaa-kwa-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-wabunifu-wanao-wavalisha-mastaa-kwa-sasa/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutana-na-wabunifu-wanao-wavalisha-mastaa-kwa-sasa/ […]