SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KUTOKA JACQUELINE,K-LYINN MPAKA J.N.MENGI
Mitindo

KUTOKA JACQUELINE,K-LYINN MPAKA J.N.MENGI 

Anaitwa Jacqueline Ntuyabaliwe alianza kujulikana mwaka 2000 baada ya kutwaa taji lake la Miss Tanzania mwaka huo. Baada ya kulivua Taji hilo tulimsikia tena Jacquieline lakini wakati huu alisikika kama K-Lyinn na hakua miss tena bali mwanamuziki hio ilikua mwaka 2003, kwa inavyo semekana Klyinn alianza shughuli zake za muziki mwaka 1997 akiwa katika band ya Tanzanite kutoka Tanzania, baada ya kurudi mwaka 2003 alidumu kidogo katika Muziki ambapo alitoa album mwaka 2004 ilioo itwa “Nalia kwa furaha” akimshikisha Bushoke mwanamziki kutoka Tanzania pia alifanya album nyingine mwaka 2007 ambapo Iliitwa “Crazy Over you” aliyo mshirikisha Squezer na 2013 alifanya kazi na Mr blue wimbo uliitwa “nishike mkono”.

maxresdefault hqdefault

Jacqueline amezaliwa mwaka 1978 akiwa mtoto wa mwisho katika familia yao, kwa sasa K-lyinn ana miaka 38, baada ya kukaa miaka kumi katika muziki aliamua kubadilika na kuwa Mbunifu wa mambo ya ndani ambapo alisomea katika chuo kinacho itwa Rhodec kilichopo Uk. Mwaka 2012 alianzisha kampuni yake binafsi ya ubunifu iitwayo Amor.

11

Kwa sasa Jacqueline ame olewa na ana watoto wawili mapacha wa kiume, ameolewa na Mwekezaji mkubwa nchini Tanzania Bwana Reginald Mengi.

jsns photo2 1 j-ntuyabaliwe

Ukiachana na hayo yote Jacqueline ni mpenda mitindo na hajawahi kutoka nje ya mitindo toka alipoanza safari yake mpaka sasa.

Screen Shot 2014-07-27 at 10.38.49 AM KKK10 KKK5 k lyinn34 jntuya jntuta

Related posts

4 Comments

  1. บาคาร่าออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutoka-jacquelinek-lyinn-mpaka-j-n-mengi/ […]

  2. Web Hosting

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutoka-jacquelinek-lyinn-mpaka-j-n-mengi/ […]

  3. VMC Zlurpee

    … [Trackback]

    […] There you can find 55207 more Information on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutoka-jacquelinek-lyinn-mpaka-j-n-mengi/ […]

  4. ดูบอลสด

    … [Trackback]

    […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kutoka-jacquelinek-lyinn-mpaka-j-n-mengi/ […]

Leave a Reply