SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KWANINI MKOBA?
Mitindo

KWANINI MKOBA? 

Toka zamani mwanamke amekua akitumia mkoba kama tamko katika mitindo, kutoka zamani mpaka sasa mkoba umekua kama alama katika mitindo, jinsi ambavyo miaka inaenda na mambo yanabadilika, mitindo inabadilika, ubora unabadilika na hata jinsi ya kubeba mkoba inabadilika

434d6258b810c2bf84c816db0536e8c6

Inasemekana kuna jinsi ya kubeba mkoba inaweza kuelezea wewe ni mwanamke wa aina gani, au rangi ya mkoba unaweza kuelezea jinsi ambavyo unajisikia siku hiyo. Pia unaweza kuvaa rangi za nguo ambazo si kali  lakini ukavaa mkoba ambao una rangi kali ikanogesha muonekano wa vazi lako katika siku hiyo.

OUTFIT STYLE BLOGGER CUTE OUTFIT STYLISH GIRLIE RED BOW BELT KATE SPADE KATE SPADE KAROLINA SHOE KATE SPADE LEOPARD SHOE LEOPARD HANDBAG RED LIP PEARLS STYLE   1cc4031f8e91318bf97abe8b7d21a6a2

Katika kipindi hiki wanawake wana beba sana mikoba mikubwa au mikoba ambayo ina mkanda mrefu na rangi kali Zaidi, Mkoba unaweza kubadilisha muonekano mzima wa vazi lako na kukupa muonekano tofauti.

c345c79faabeb7b81fdf85f3b70ba853 58f5c6a7a0bd1af21be3205e36bf2334 4dac1a68de20d6d0f6582533c5eb3bf4

Related posts

3 Comments

  1. เว็บตรง betclic88

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-mkoba/ […]

  2. BINANCE $

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-mkoba/ […]

  3. linked here

    … [Trackback]

    […] There you will find 5469 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-mkoba/ […]

Leave a Reply