SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kwanini Vintage Fashion?
Mitindo

Kwanini Vintage Fashion? 

Vintage Fashion ni fashion ya zamani ambayo ilikuwepo toka enzi za miaka 20’s, Vintage fashion au retro fashion imekuwa ikiondoka na kurudi tena mara kwa mara. Kama ni mpezi na mfuatiliaji wa fashion utagundua kwamba miaka ya 90 vintage fashion ilirudi kwa kasi.

Wasanii wengi maarufu walikuwa wakizivaa akiwemo mwanamuziki na muigizaji Will Smith.

Wengi tunachanganya trends za miaka ya 90 ambazo zilitoka miaka iliyopita kwa kuziita vintage not knowing kwamba hizi ni fashion zili trend miaka hii lakini zikiwa zimetoka miaka ya 1920 mpaka 1950 na kuwekwa kuwa katika hali ya miaka ya 1990, miaka hii vintage fashion imeonekana kurudi pia kwa kuwaona watu maarufu kama Beyonce na Jay Z katika wimbo wao wa apes Shit wakiwa wamevalia vintage lakini pia Cardi B na Bruno Mars katika wimbo wao wa Finess napo wametumia style hii.

Inawezekana ukajaiuliza how tunasema hawa watu wame tumia vintage fashion wakati mavazi yanaonekana ya kisasa well Vintage fashion ni uwezo wa kutumia mavazi ya era ( kuanzia miaka 20) iliyopita tunaweza kusema yanaweza kuwa original kutoka era hio au unaweza kuya style ya sasa na kuyapa touch’s za vintage, kama ku-accessories na vintage accessories, kununua mavazi ambayo yana touch’s za era zilizopita n.k hii inaitwa modern vintage style.

Kwanini Vintage Style imerudi

As we said ni style ambayo watu huchukua styles za miaka 20 (1920) na kuzifanya ziwe za ckisasa so unaposikia the 80’s,60’s are back hizo ndizo vintage styles, zinarudi mara kwa mara kutokana na kwamba styles za miaka hio nyingi ndizo zinazozua styles za miaka hii, so chochote ambacho kilikuwapo miaka hio ndio kimekuwa modified kuonekana cha kisasa zaidi.

Wasanii mbalimbali kutoka Tanzania wameonekana kuwa wamevutiwa na style’s hizi za vintage, ukiangalia siku hizi hamna milegezo wengi wanavalia mavazi kiunoni (80’s), Millitary chest bags zimerudi, safari boots navingine vingi, kitu kikubwa ambacho kinatofautisha then na sasa hivi ni rangi na muundo.

Well let’s meet next time na kitu kingine, usisahau kutupa maoni yako na kama ungependa kujua kuhusu kitu kinacho husina na fashion & beauty tupo hapa kwaajili hio.

 

Related posts

6 Comments

 1. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-vintage-fashion/ […]

 2. useful content

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-vintage-fashion/ […]

 3. magic mushrooms in portland oregon​

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-vintage-fashion/ […]

 4. visit

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-vintage-fashion/ […]

 5. go x san francisco

  … [Trackback]

  […] There you can find 65283 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-vintage-fashion/ […]

 6. https://www.postandcourier.com/sponsored/phenq-reviews-does-this-diet-pill-actually-work/article_1cdbfb1a-395f-11ee-9d97-33c51303c959.html

  … [Trackback]

  […] There you can find 76719 more Info to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kwanini-vintage-fashion/ […]

Comments are closed.