SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KYLIE JENNER AMEFANANA NA KIM NA HII STYLE MPYA YA NYWELE
Hair

KYLIE JENNER AMEFANANA NA KIM NA HII STYLE MPYA YA NYWELE 

Kylie Jenner 19, ame onekekana kuwa na style mpya ya nywele ambapo ame onekana kufanana sana na dada yake Kim Kardashia, Kylie ambae ameonekana kufuata nyayo za dada yake huyu kwa kufuatisha kila kitu kama plastic surgery na scandals za hapa na pale kama Kim.

Kylie ame onekana akiwa amevalia scarlet satin bodysuit na  red leather mini skirt kuonyesha miguu yake alikua ana elekea katika concert ya shemejie Kanye

37FE545E00000578-3777071-Kylie_wore_a_scarlet_satin_bodysuit_with_a_deep_red_leather_mini-m-135_1473210228587

Tumependa muonekano wake mpya ila mmh does she need to stop coping Kim or nah?

37FE550700000578-0-image-m-119_1473208751214

Tupe maoni yako kupitia Instagram page yetu @afroswagga Facebook @afroswagga na twitter @afroswaggatz

Related posts