SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KYLIE JENNER AVALISHWA PETE USIKU WA CHRISTMASS
Lifestyle

KYLIE JENNER AVALISHWA PETE USIKU WA CHRISTMASS 

Tukimtaja Kylie Jenner ana julikana kwa vingi ukiachana na familia yake pia ana miliki lipsck line inayoitwa #kylielipkit na anauza nywele, Kylie na mpenzi wake Tyga wame kua katika uhusiano kwa muda sasa lakini hivi karibuni ilisemekana wametengana, usiku wa christmass Kylie alionyesha pete ya almasi ambayo ina semekana ame valishwa na Tyga watu wengi tulidhani ni pete ya uchumba lakini Kylie kakanusha kwa kusema ni zawadi tu.

“Every year my Mom throws a huge Christmas Eve party and this years was so fun (and sparkly)! It was really special to end such a big year celebrating with all of my friends and family… and with an extra special gift from a special someone,she wrote on her app. “And NO, I’m not engaged”

tyga-3

tyga-5

Related posts

2 Comments

  1. buy ozempic online

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kylie-jenner-avalishwa-pete-usiku-wa-christmass/ […]

  2. 티비위키

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/kylie-jenner-avalishwa-pete-usiku-wa-christmass/ […]

Leave a Reply