Mtoto wa mwisho wa Kris Jenner A.K.A Mom manager ambae hivi karibuni ametajwa na gazeti la Forbes kuwa ni self made billionaire, Kylie Jenner ametuma a 3:00 minute Purse Closet Tour ambayo kwetu ni goals, katika kabati lake hili kuna Original handbags za designers tofauti tofauti akiwepo Prada, Louis Vuitton, Fendi etc.
Amesema katika kabati hilo mstari anao upenda hasa ni wa handbags za Hermes kwa sababu ni investments ( we couldn’t agree more) lakini pia kama kuna handbag ambayo angeibeba endapo moto ungewaka nyumbani kwake ni Hermès white Himalaya crocodile diamond Birkin bag ambayo inauzwa $379,261 sawa na shilingi 867,350,943.95 ZA Ki-Tanzania well ni more than ushindi wa biko, na Big Brother Africa Kylie yeye analibeba mkononi, girlllllllllll.
Kuna pochi ambazo alipewa zawadi na mama yake na yeye angependa kuzipass kwa mwanae Storm, ambazo ni Louis Vuitton, Hermes na Prada Bags well Storm we can’t wait to see you wearing these bags unaweza kuangalia hapo chini
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…