SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kylie Jenner & Irina Shayk Twinning Moment At Paris Fashion Week
Mitindo

Kylie Jenner & Irina Shayk Twinning Moment At Paris Fashion Week 

The worse nightmare ambayo watu maarufu wengi huwa wanaiogopa ni kuingia sehemu hasa kwenye event kubwa ukiwa umevalia vazi ambalo mtu mwingine maarufu amevalia, hii amekutana nayo enterprenur Kylie Jenner na mwanamitindo Irina Shayk huko Paris ikiwa wote wakiwa wamevalia vazi la aina moja.

Wakiwa wame attend Paris Haute Couture Fashion Week for Spring-Summer 2023 na mbunifu Schiaparelli akiwa ana debut collection yake Kylie alivalia gauni kutoka kwa mbunifu huyohuyo Schia na katika collection yake hio mpya wakati Irina yeye aliivaa akiwa kama model wa mbunifu huyo, Gauni ni nyeusi ya mpira ambayo ni sleeveless ikiwa na kichwa cha simba kikubwa upande wa kushoto wa kifua.

Wateteaji wa haki za wanyama walionekana kukosoa mavazi haya lakini wote Kylie na Irina wamesema haya mavazi hayakudhuru wanyama kwa aina yoyote, anyways mate who rocked the dress better?

Related posts

2 Comments

  1. Where to Buy Changa DMT online Melbourne

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kylie-jenner-irina-shayk-twinning-moment-at-paris-fashion-week/ […]

  2. h&k for sale

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/kylie-jenner-irina-shayk-twinning-moment-at-paris-fashion-week/ […]

Comments are closed.