SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ladies In Red For Valentines
Mitindo

Ladies In Red For Valentines 

Love season is in the air, tarehe 14 February ni siku ya wapendano ambapo huwa inaidhimishwa kila mwaka, na kwasababu hii wengi huchagua kuvaa rangi nyekundu kwakuwa inaaminika ni rangi ya upendo. Well watu maarufu mbalimbali wameonekana kufanya photoshoot kwa ajili ya siku hii na kuwatakia wafuasi wao siku njema ya valentine, lets see nani alitokaje.

Jojo Gray wearing Shuu Design hii look ni perfect kwaajili ya date night, Happiness Magese yeye alikuwa ni Versace rob akamalizia muonekano wake na pearl jewelries tumependa how relaxing yet sexy this look is. Kutoka South Africa Lerato Kgamanyane yeye alivalia short bow red dress pamoja na red bowed shoes ( she chose to be a gift herself)

Kutoka Tanzania tumemouna Feza Kessy, Judy Fashion na tunaekutoka Uganda Spice Diana

Tunajua kuna wale extra extra hawanaga dogo, well tunao Anitha Fabiola kutoka Uganda, Doris kutoka Tanzania na Lily Afe kutoka Nigeria.

Tuambie favorite look yako ni ipi?

Related posts

1 Comment

  1. mm88

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/ladies-in-red-for-valentines/ […]

Comments are closed.