Gaga has always been that girl linapokuja kwenye swala la fashion, she breaks the rules & take risks like no other. Moja ya signature yake katika mavazi ni hizi platform heels ambazo mimi na wewe tunaweza kujiuliza nawezaje kutembelea let’s leave that to Gaga.
Gaga ameonekana mara 3 akiwa amevalia viatu hivi ambapo tulimuona akiwa amevalia Angel Wing-Adorned Lanvin Mini Dress ya black & white akamalizia muonekano wake na handbag nyeusi na miwani. Hakuishia hapo alionekana tena akiwa amevalia viatu hivi na black blazer & costume amemalizia muonekano wake kwa kuvalia scarf kichwani. Lakini pia alionekana akiwa amevalia viatu hivi na bandage black dress.
Inavyosemakana viatu hivi vinaurfu wa 9-Inch, well are we loving them?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 8511 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lady-gaga-and-her-platform-heels-are-taking-over-nyc/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lady-gaga-and-her-platform-heels-are-taking-over-nyc/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 42107 additional Information to that Topic: afroswagga.com/mitindo/lady-gaga-and-her-platform-heels-are-taking-over-nyc/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 36013 additional Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/lady-gaga-and-her-platform-heels-are-taking-over-nyc/ […]