SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lady Gaga Showed Us How To Slay With The Mask At The VMA’s
Mitindo

Lady Gaga Showed Us How To Slay With The Mask At The VMA’s 

Lady gaga ametuonyesha namna ambavyo unaweza ku-slay ukiwa umevalia mask on, akiwa katika tuzo za MVA’s Gaga alikuwa nominated katika category mbalimbali na aliperform pia.

Alivaa 9 looks na zote zikiwa na mask, Oh yeah kwetu tunaweza kuwa tumebarikiwa hili janga limepita “To The Left To The Left” lakini huko kwa wenzetu bado wanalo na wanaendelea kuchukua tahadhari, kitu ambacho tumependa kutoka kwa Gaga ni kutokuwa regular na mask zake. Alichagua zile ambazo zina-make statement na zipo kitofauti lakini zinaendana na outfit zake as we all know Gaga she is always Gagaring.

hatujui aliwezaje kubadilisha hizi looks mara kwa mara lakini all we can say is Gaga served and she did the dishes, her team doesn’t play.

She gave us moon look, multi colored outfit na mathing pink mask pia alikuwa dripping in silver akiwa amevalia Candice Cuoco jacket, Manuel Albarran bra and choker, Maisonmet mask, and Valentino Haute Couture bodysuit.

Alivaa silver na white outfit kutoka kwa Valentino Haute Couture , green dress by Christoper John Rogers , pia alivaa BCalla catsuit, Edward Avedis belt, and Saint Laurent shoes.

Lakini pia she served us looks wakati ana perform

Well afromates look ipi ambayo imekuvutia?

Related posts