SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Last Week’s Best Celebrities Looks
Mitindo

Last Week’s Best Celebrities Looks 

Hakuna kitu interesting katika ulimwengu wa mitindo kama kuona week ina event’s mbalimbali iwe ambazo zinajulikana au zisizo julikana, week iliyopita kulikuwa na event mbalimbali na watu maarufu walionekana kuhudhuria event hizo, tupo hapa ku-review looks walizozivaa katika event hizo,

Imekuwa muda mrefu toka tumuone Shilole akiwa ame dress up, ame tu-surprise na hii wedding guest look, ambayo ni purple corset dress kutoka kwa mbunifu designed by Shuu amemalizia look yake na makeup kutoka kwa makeup by eddie, headgear na hand fan.

Hamisa keep’s her ten toes down linapokuja swala la fashion, ana serve looks asubuhi, mchana na jioni & she stays unproblematic, week hii tumemuona na hii yellow & nude corset number kutoka kwa brand yake ya Mobetto style, as usual makeup na hair vilikuwa on point.

Kama kuna mtu maarufu ambae anafaa kupewa maua yake kwenye upande wa mavazi basi ni Gigy Money tunaweza kusema amejipata week iliyopota tumemuona in little turquoise number kutoka kwa mbunifu Michael Williams, Hair @jonijohairtz x @allenndaray1, Dress👗 @michaelwilliams.x, Studio @chizimapicha, Pic @chizimapicha

Tulimuona pia video vixen Nai akiwa amefanya photoshoot amevalia sheer dress kutoka kwa👗 @allie_clothings, Pic @chizimapicha, Makeup @alphiebeautie, Hair @jonijohairtz
Nails @mtoto_iddy_nails

Kim Nana in a white dress, Kim anaonekana kuja kwa kasi kwenye mavazi, ukiingia kwenye page yake unakutana na looks za kupendeza, week hii alivaa hii gauni nyeupe, ambayo ilikuwa na single strap kilicho nogesha zaidi hii look yake ni makeup na hair style zilikuwa on point

tuambie nani amekuvutia zaidi na muonekano wake kati ya hawa watu maarufu watano?

Related posts