SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Laura Ikeji Showing Us How You To Repeat Outfit In Style
Mitindo

Laura Ikeji Showing Us How You To Repeat Outfit In Style 

Inawezekana wewe ni mmoja wapo ambae umezoea kuvaa nguo fulani namna moja yaani kama ni suit basi utavaa suit na koti lake kwa namna hio mara nyingi mpaka watu wakuchoke au wewe mwenyewe ujishtukie. Kama una tatizo hili basi utakuwa unajikuta unalalamika huna nguo au kuwa unanunua nguo mara nyingi.

Wakati kumbe unaweza kutumia mavazi uliyonayo na kuvaa mara nyngi tofauti kwa kuya-style namna tofauti tofauti, mfano mzuri ni mwanadada kutoka Nigeria ambapo yeye ametuonyesha namna ambavyo ameweza kustyle suit yake mara mbili na akapendeza.

Ambapo mara ya kwanza alivaa kama full suit na bralette akamalizia na mini bag nyeusi, red heels na miwani. Huku mara ya pili akiwa amevalia blazer ya suit hio na bralette na mom jeans ya blue akamalizia muonekano wake na pumps nyeupe mini bag nyeusi pamoja na hat na miwani.

Well inawezekana siku nyingine akaja kuvaa suruali ya suit hii na top na viatu na akawa ana nguo moja iliyovalika mara nyingi iwezekavyo bila kuchoka.

Related posts

6 Comments

 1. official site

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-ikeji-showing-us-how-you-to-repeat-outfit-in-style/ […]

 2. พนันบอล

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-ikeji-showing-us-how-you-to-repeat-outfit-in-style/ […]

 3. ไซด์ไลน์

  … [Trackback]

  […] There you will find 63504 more Info on that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-ikeji-showing-us-how-you-to-repeat-outfit-in-style/ […]

 4. Australia Psilocybin Mushrooms Supplier

  … [Trackback]

  […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-ikeji-showing-us-how-you-to-repeat-outfit-in-style/ […]

 5. Bubble Tea

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-ikeji-showing-us-how-you-to-repeat-outfit-in-style/ […]

 6. buy cloned debit cards​

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-ikeji-showing-us-how-you-to-repeat-outfit-in-style/ […]

Comments are closed.