TV Star Laura M Govan (37), kwa wasio mjua anaonekana katika TV show’s kama “Basketball Wives: LA.” TV shows pia Dream of Nene: The Wedding na Huff Post’s BV 365. Laura ni moja kati ya wapenda fashion (ume notice almost TV stars wote ni fashion lovers?) Well labda kwa sababu wanaonekana sana kwenye kioo so they need to look good.
Jana katika Account yake ya Instagram Laura ameoneka akiwa amevaa hii suruali No Ni nusu suruali nusu mikanda ambayo imetufanya tujiulize mara mbili mbili is it a hit or a miss? is denim coming to an end ama vipi?
Je wabunifu wana take hii lace up trend too far? well Laura rock it na ame pendeza lakini only Laura can pull this up labda na the Kardashian, Amber Rose na Blac Chyna
Hapa inavyo onekana kwa nyuma.
Well wasomaji wetu je should she keep it or trash it?
Related posts
1 Comment
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here to that Topic: afroswagga.com/mitindo/laura-m-govan-denim-pant-keep-it-or-trash-it/ […]