Tunapenda tukikutana na fashionista’s wamevaa sare, kwa sababu hapo ndipo tunajifunza namna mbalimbali za ku-style vazi hilo. As we all know fashionista’s wengi wanapenda kuwa unique kila mtu ana taste yake katika mavazi na vile ambavyo ana liangalia vazi hilo.

Leo tupo na Stylist kutoka Tanzania Lavidoz na mweningine kutoka South Africa, Lerato Kgamanyane, Fashionista’s hawa wawili wameonekana kuvutiwa na vazi hili moja la striped shirt dress ambayo nje ina kama a tuxedo dress iliyo katwa. Wabunifu kazini ni kama 2 in 1 outfit

Lerato Kgamanyane yeye alivaa dress hii na white open heels ame accessories na glasses na bamboo bag (mwenyewe ame sema ni wok flow) so its more likely a business au corporate look

Wakati our own Lavidoz yeye amevaa same dress na red pumps huku akiwa amemalizia muonekano wake na miwani na red bag

 

tuambie nani kakuvutia na style yake kati ya hawa fashionista’s wawili